Header

Header

Pages

Thursday, July 4, 2013

TAYOA YASHEREKEA USHINDI ILIYOUPATA KATIKA MAONESHO YA EACO YALIYOFANYIKA NAIROBI NCHINI KENYA

    
 Mkurugenzi wa TAYOA Mr. Peter Masika(wa pili kushoto) akionyesha tuzo zilizopatikana katika maonesho ya EACO yaliyofanyika jijini Nairobi nchini Kenya,TAYOA ilifanikiwa kutwaa tuzo tatu kati ya tano zilizotolewa katika maonesho hayo ya matumizi ya Teknolojia yaliyozihusisha pia nchi za Kenya, Tanzania, Sudani ya Kusini, Uganda na Burundi. Kutoka kushoto ni Mr.Benedicto Shayo, Mr. Peter Masika, Balozi Mstaafu Charles Sanga, (walioiwakilisha TAYOA nchiniKenya)Mr.Derick Mtavangu na Mr.Adam Mrisho


Mkurugenzi wa TAYOA Mr. Peter Masika akifafanua Matumizi ya teknolojia katika kuwafikia vijana kupitia tovuti ya www.vijanatz.com ambayo inamilikwa na TAYOA. Tovuti hiyo imeweza kuwasaidia vijana wengi kujipatia ajira kupitia kipengele cha vijanajobs.com ambapo unaweza kusoma matangazo ya kazi kutoka katika kampuni mbalimbali.

1 comment:

  1. we are so happy for this awards!!!!! We are so inspired with this..... hope will do much more than this

    ReplyDelete