Header

Header

Pages

Saturday, January 5, 2013

Watumishi wa Kituo cha Afya cha Lunguya wakipewa maelekezo kuhusu uandikishaji wa hiari kwa tohara,ambao unabaki kua siri kati ya muandikishaji na mhusika,namba ya simu tu na umri ndivyo vinachukuliwa kwa mawasiliano na daktari.

No comments:

Post a Comment