Header

Header

Pages

Saturday, January 5, 2013

Katika Kijiji cha Kakola,karibu na mgodi wa Bulyanhuru,vijana wanatoa maoni yao kuhusu Tohara kwa wanaume, Wanauliza Swali: Je?Kama Tohara inapunguza maambukizi ya VVU 60%,wakitahiriwa waache kutumia kondomu?

1 comment: